Dogo Janja – Imani Lyrics

Imani Lyrics by Dogo Janja

[Intro]
Yeeei Yeeei
Oooooh
Uuuh!

[Verse 1]
Sometimes ups and down
Maisha napitiaaa
Nacheka naliaaa
Wala sioni Msadaaa (uh)
Ni Mungu tuu, aliyejuu
Anayeniongoza aliyemkuu
Nayaweka kifuani si mwambii mtu
Nitafaulu yote, kwa nia tu!
Barabarani jua kali
God I need you (heee)
(God I need you)
Yeah!

[Chorus]
Bado na imani(badoo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani
(badoo badoo badoo)
Sinaa… sinaa sinaa
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (badoo)
Sinaaaa… sinaaaa sinaaaaa (nasema sinaaa)
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (oooh nah nah nah)

[Verse 2]
Nilikuja peke yangu bila wenzangu
Hakuna ninachohofear zaidi ya Mungu na mama angu
Ndo maanaa niko hapa leo nakusujudia
Mengi na kwambia kuna viumbe vinaumia
Nivute mkono niweke kwa mlima (Lord)
Nikiwa kwako labda nitapata uzima
Dunia, tambara mbovuuu walisema watu wazima
Mi nasujudu wewe umesimama wimaa

[Chorus]
Bado na imani(badoo)
Yote napitia (badoo)
Bado na imani
(badoo badoo badoo)

Sinaa… sinaa sinaa
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (badoo)
Sinaaaa… sinaaaa sinaaaaa (nasema sinaaa)
Sinaaaa urafiki na dunia yenu (oooh nah nah nah)Leave a Reply

Your email address will not be published.