Goodluck Gozbert – Nipe Lyrics

Nipe Lyrics by Goodluck Gozbert

[Verse 1]
Hata Nikiwa sina chakula isinifanye kusahau ulinilisha Nikasaza
Hata nikiwa sina mavazi
Isinifanye nikufuru nakusahau umeniweka hai
Ona wapo marafiki wanakosa kulu na kuvaa
Hawalalamiki wanakushukuru tu
Mimieeh nilikupa nini baba
Cha kunipa kibali kwa sizu zilizofurahisha

[Bridge]
Tabu kidogo Zisifanye nikuasahau
Umeshatenda mengi nikiwa hapa ehh
Shida itapita bado kidogo
Ikiwa nitachoka niinue

[Chorus]
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
Nipe…wako
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
wako

[Verse 2]
Hata kwenye bonde hili la mauti
Nakumbuka nilikuita na wewe ukaitika, baba
Kutegemea akili zangu, na mawazo yangu
Kutanifanya niendelee ah niendelee kulalamika
Kuna kipindi najisahau na kujivunia mafanikio
Wengine naona taka taka
Nikumbushe mi ni mtu tu na dunia tunapita

Uhai wangu si faida bila wewe
Mungu wewe ni mkuu, kulikovile nakutazama baba
Unisamehe Unisamehe
Kuna nyakati nadhani hii dunia labda ni ya ushindani
Natumia akili zangu za ndani ila bado nashindwa kuendelea
Nikumbushe nisidhani wakifanikiwa tuna upinzani
Nifundishe kuwaombea amani
Na utatenda kwa wakati

[Bridge]
Na ikiwa kama nikisahau unikumbushe mi mtoto wako
Kama nikisahau unikumbushe mi mtoto wako

[Chorus]
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
wako
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
Nipe kukumbuka wema
wako
kukumbuka wema
kukumbuka wema
kukumbuka wema
Wako

[Outro]
Hata nisipofanikwa (kukumbuka wema)
Nikarudi kwenye dhiki (kukumbuka wema)
Kupoteza marafiki (kukumbuka wema)
Unikumbushe kumbushe tu
Baba yangu (kukumbuka wema)
Oh nikumbuke pia (kukumbuka wema)
Oh fadhili zako (kukumbuka wema…wako)
Unikumbushe Jehova (kukumbuka wema)
Unikumbushe masihi (kukumbuka wema)
Kwamba uliniumba niwe vile utakavyo oh ohh ohh (kukumbuka wema…wako)

Asante

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.